Nina mtaji wa 1,600,000 nataka kufungua biashara ya gesi naomba ushauri

Nina mtaji wa 1,600,000 nataka kufungua biashara ya gesi naomba ushauri

Herman Gx

New Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
1
Reaction score
1
Ushauri naomba ndugu; mtaji ni 1.6m nimefikiria kuanza uwakala wa gas naomba ushauri labda nini tofauti na uwakala wa gas naeza fanya kwa maeneo ya Kigamboni.
 
Nasubiri kwa hamu sana maoni ya wataalamu wa biashara ya uwakala wa mitungi ya gesi.
 
 
Unaweka duka la mtaani, au unasambaza madukani? Kila module Ina strategy zake. Nicheki kwa 0713039875
 
HUDUMA ZETU NI SAWA NA BURE BOSS

KUSAJIL KAMPUNI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship

HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)

KUANDIKA MEMORANDUM


USAFI WA:
-Majumbani
-Viwandani
-maofisini
-hosipitalini
-shuleni
-maeneo ya jamii

TUKO NA UZOEFU WAKITOSHA

Wasiliana nasi kwa # 0788104228

USHAURI NI BURE

Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
Klin&Brite
 
Back
Top Bottom