Ushauri naomba ndugu; mtaji ni 1.6m nimefikiria kuanza uwakala wa gas naomba ushauri labda nini tofauti na uwakala wa gas naeza fanya kwa maeneo ya Kigamboni.
Samahani nauliza kuhusu biashara ya gas kwa matumizi ya nyumbani.Ni vigezo vipi vinahitajika mpaka mtu awe wakala wa usambazaji wa bidhaa hii. Mfano wa makampuni ya Orxy gas,Majimas gas nk.
ndugu wana jf, nataka kuanzisha biashara ya kuuza gesi ya kupikia na accessory zake.,naomba msaada kuhusu procedure zinazotakiwa ili niweze kufanikisha ndoto yangu. pia mwenye idea na strategic business proposal naomba anisaidie. natanguliza shukrani.