Pipidarling
Member
- Jul 19, 2016
- 29
- 12
Nambeni ushari, na uzoefu wenu spea za pikipiki zinalipa? Na changamoto ya hii biashara ni ipi na natakiwa kufanya nini ili nitoboe location Arusha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma tena sio kununua pikipiki aendeshe ni kufanya biashara ya vifaa vya pikipiki.
Zinalipa mkuu ila weka nusu ya hiyo pesa ndo uanze kama mtaji na wewe ndio uwepo kwenye duka au wife wako.Nambeni ushari, Na uzoefu wenu spea za pikipiki zinalipa? Na changamoto ya hii biashara ni ipi na natakiwa kufanya nini ili nitoboe location Arusha.
Mpuuze huyu, usimtafute anataka kukuibia[emoji23][emoji23]Zinalipa mkuu,ila weka nusu ya hiyo pesa ndo uanze kama mtaji,na wewe ndo uwepo kwenye duka,au wife wako.
Zingine wekeza kwenye biashara nyingine ambayo haitakulazimu wewe usimamizi wako.
Zipo biashara nyingi tu hapa Arusha, tuwasiliane Kwa mawazo zaidi na ushauri zaidi.(nipo Arusha pia)
Hivi ni kwa nini pikipiki mnang'ang'ania kuendesha wenyewe?, Kwa maana hiyo maisha yako yote utazeeka na pikipiki moja tu au ukinunua ya pili napo unakuwa unaziendesha zote mbili?
Mbadala wake kimawazo ni nini sasa?Hivi ni kwa nini pikipiki mnang'ang'ania kuendesha wenyewe?, Kwa maana hiyo maisha yako yote utazeeka na pikipiki moja tu au ukinunua ya pili napo unakuwa unaziendesha zote mbili?
Huwa ninashangazwa sana na akili ya kusema ukinunua bodaboda lazima uendeshe mwenyewe!, huwa ninadhani ni mawazo ya hovyo sana.
Mambo ya pm ya kazi gani, weka hapa kwa faida ya wengine.Zinalipa mkuu ila weka nusu ya hiyo pesa ndo uanze kama mtaji na wewe ndio uwepo kwenye duka au wife wako.
Zingine wekeza kwenye biashara nyingine ambayo haitakulazimu wewe usimamizi wako.
Zipo biashara nyingi tu hapa Arusha, tuwasiliane Kwa mawazo zaidi na ushauri zaidi. (Nipo Arusha pia)
Ni kujifunza kutafuta madereva waaminifu na kuwa makini kufuatilia mienendo yao na namna wanavyotunza vyombo vyako.
Upo sahihi bro, lazima tujaribu na ufanisi Wa watu wengine pia.Ni kujifunza kutafuta madereva waaminifu na kuwa makini kufuatilia mienendo yao na namna wanavyotunza vyombo vyako.
Huwezi kufanikiwa kimaisha kama utataka kila kazi yako uifanye wewe, ni lazima ujifunze kuweka watu wakusaidie kuzifanya. Kikubwa ni kuwa makini kufuatilia na kusimamia.
Hongera sana, mwenye masikio na asikie!Upo sahihi bro, lazima tujaribu na ufanisi Wa watu wengine pia.
Sasa Mimi Nina Pikipiki 13 sasa na kila mwezi naweka mpya 2 barabarani, so mnataka hizi Pikipiki zote niendeshe pekeyangu barabarani.
Ukiona kila mwezi naweka Pikipiki 2 barabarani ni kwasababu naweka mambo vzuri na madereva nachagua vzuri na kikubwa zaidi Pikipiki nazifatilia kila baada ya Siku 10 maana zote ni Pikipiki za MKATABA na Dereva anaitunza maana baada ya Miezi 12 ni Mali yake Halali.