Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 587
- 276
Kama kichwa cha mada mie mdau nimebangaiza kitaa nina 4m hapa nataka nifanye biashara ya uwakala wa pesa kwa simu na mabank, natafuta frame ya kufanyia biashara hiyo iliyopo maeneo yalochangamka iwe Kinondoni, Mwananyamala, Kigogo nk. Nikiipata nianze kufuatilia lines za miamala na leseni ya biashara chapchap nianze kukomaa.
Mwenye frame plz ani-dm
Mwenye frame plz ani-dm