Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 587
- 276
Mbona unamkatisha tamaa Mwenzio Mkuu??Hiyo 4m ya frem au ndio mtaji wa uwakala na Kodi humo humo??
Kama ndio unaangalia hiyo hiyo 4m endelea na kazi iliokupa hizo 4m
Hakuna mahali nilipomkatisha Tamaa, huo Ni mtazamo wako.Mbona unamkatisha tamaa Mwenzio Mkuu??
Acha kumtisha mwenzako, katika hiyo milioni 4 akitoa milioni moja, atalipia frame kwa miezi 6 bora atafute frame isiyozidi Tsh 120000 kwa mwezi, na pia atapata Leseni kumbuka Leseni ya Retail shop ni, 100000 TRA na 72000 Halmashauri kumbuka ukiwa na leseni ya Biashara, Laini za uwakala ni bure, unalipia kiasi kisichozidi Tsh 25000 tu kwa lainiHakuna mahali nilipomkatisha Tamaa, huo Ni mtazamo wako.
Point yangu kuu! Afanye Biashara iliomuwezesha kupata hiyo 4m
Kwann
4m
Upate frame?
Upate reseni ya huduma za kifedha BOT
Uje kwnye mitandao ya simu.
Tusidanganyane commission ndogo Sana kwenye mtaji wa 4m benk na mitandao ingine ya kifedha
Noted.Hii biashara ya uwakala uanze huko vijijini ndio utapiga pesa kwa kutumia lipa namba utakuja kunishukuru baadae boss
Mjini kod ming na mlolongo wa wiz na kodi
Hiyo 4m ya frem au ndio mtaji wa uwakala na Kodi humo humo?
Kama ndio unaangalia hiyo hiyo 4m endelea na kazi iliokupa hizo 4m
Friji tena kwenye biashara ya fedha? [emoji848] Kazi ipo kwakweli.Acha kumtisha mwenzako, katika hiyo milioni 4 akitoa milioni moja, atalipia frame kwa miezi 6 bora atafute frame isiyozidi Tsh 120000 kwa mwezi, na pia atapata Leseni kumbuka Leseni ya Retail shop ni, 100000 TRA na 72000 Halmashauri kumbuka ukiwa na leseni ya Biashara, Laini za uwakala ni bure, unalipia kiasi kisichozidi Tsh 25000 tu kwa laini
Kwenye hiyo milioni 3 iliyobaki achukue million 1 atafute friji na mtaji wa Biashara vinywaji Baridi, milioni 2 inatosha kuanzia Biashara ya Retail bora tu awe na nidhamu ya fedha
Kama alikaba ama kutatuliwa rinda akiendelea na hiyo kazi hauoni mnampoteza mkuu?
Friji tena kwenye biashara ya fedha? [emoji848] Kazi ipo kwakweli.
Leo ukisoma tena meseji yako unajionaje? hahahahahHakuna mahali nilipomkatisha Tamaa, huo Ni mtazamo wako.
Point yangu kuu! Afanye Biashara iliomuwezesha kupata hiyo 4m
Kwann
4m
Upate frame?
Upate reseni ya huduma za kifedha BOT
Uje kwnye mitandao ya simu.
Tusidanganyane commission ndogo Sana kwenye mtaji wa 4m benk na mitandao ingine ya kifedha