Hakuna connection yeyote ya uganga na biashara, watu wajinga tu mkuu.Vipi hao waganga nao ni matajiri/wana mafanikio?
Au ndiyo mganga anaishi kwenye kijumba cha udongo halafu unamfuata akupe dawa ya biashara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna connection yeyote ya uganga na biashara, watu wajinga tu mkuu.Vipi hao waganga nao ni matajiri/wana mafanikio?
Au ndiyo mganga anaishi kwenye kijumba cha udongo halafu unamfuata akupe dawa ya biashara.
Best comment ever❤️Hongera sana kwa WAZO la kuanzisha BIASHARA.
Naamini ktk Uchambuzi wa Biashara kwa kuandaa proposal.. ukizileta kwa njia hii wale wataalam wa analysis watakujibu kiusahihi.
Hapa tutatumia hisia kwa wingi.
For me: Biashara ya vitu vya Ujenzi naona ipo poa..
Kuniharibu vipi wakati nina pesa ambazo wewe haujawahi na hautegemei kuwa nazo? Wewe ni dini gani?Hakuna connection yeyote ya uganga na biashara, watu wajinga tu mkuu.
Umejuaje hana hizo pesa??Kuniharibu vipi wakati nina pesa ambazo wewe haujawahi na hautegemei kuwa nazo? Wewe ni dini gani?
Hamna mwenye pesa akawa na mawazo kama yakeUmejuaje hana hizo pesa??
Pamoja sanaa..4 japo mtaji mdogo huo
Nataka namba ya mganga Mambo yasiwe mengiHuo ndio ukweli biashara inaendena na waganga mimi nakuambia hivyo kwa uzoefu nimezaliwa katika familia ya wafanyabiashara na mimi nafanya biashara
Ukikua na ukitoka hapo kwa shem uje uzungumze tena.Hakuna connection yeyote ya uganga na biashara, watu wajinga tu mkuu.
Wasamehe kaka hao ni watoto wadogo hawajui chechote kileUkikua na ukitoka hapo kwa shem uje uzungumze tena.
Mkuu, ninaomba unifungulie pm tutete kidogo.Asante.Wasamehe kaka hao ni watoto wadogo hawajui chechote kile
Ila ww jamaa 😀🙌🏽Namba tatu imekaa poa ilaa mtaji wa kwanza namba za waganga pesa upepo inepepea any time.
🤣🤣🤣🤣 unge troubleshootNaunga mkono hoja hata mimi biashara yangu ya majeneza kuna kipindi iligoma kabisa mpaka nikawaza nifunge tu nirudie kazi yangu ya zamani (wizi wa mafuta ya transformers)
Lakini kuna mganga nilimpata kipindi hicho alikuwaga ameletwa hapa Dom na kigogo mmoja wa serikali nikatonywa na chawa mmoja wa kigogo huyo nikamtafuta huyo mtaalam tukaelewana akaja kufanya setting hapa ofisini yaani biashara ilikubali mpaka nikaona sasa naelekea kuwa bilionea!
Baadae hali ile ilipungua tena nahisi nilitakiwa kurenew setting ila tatizo nilipotezaga namba za yule mganga halafu yule kigogo naye alishahama hayupo huku ila natamani sana ningepata tena mganga kama yule ningekuwa mbali
Daycare kwa million 10? How?Ukishindwa biashara zote hizo. Fungua day care uwe mwalimu au meneja.
Tuko mwaka 2025 jan bado hujapata idea kutoka kwa maon ya wadau??Bado endeleeni kushusha maoni mwezi wa 3 nafanya kweliii
kote sawa ila hapo kutupa karatasi hapana, kadri unavyokuwa ndo ujuzi wa shule uingize kwenye biashara ila wakat wa kuanza afate hii akili atafanikiwa.Mambo ya
Business proposal
SWOT
E.t.c
Naonaga ujinga tuuu...
Sawa niliyasoma chuo ila niliyakariri ili nifaulu darasani ila ukija mtaani ukitaka kutoboa....
1. Anzisha biashara
2. Weka bei kama ulizozikuta sokoni
3. Soma MCHEZO ukiwa mchezoni
4. Tafuta taarifa field
5. Tafuta waliokutangulia wakuongoze na kukupa hint
Makaratasi na mambo hayo ya darasani TUPA HUKOOOO
#YNWA
Ndioa maana vibiashara vyenu havidumu.. mnakuja kulia lia humu.
Kila kitu lazima ukifanyie tathmini na sio kwenda blindly..
Proposal na Biz plan ni muhimu. Hayo uliyoyataja maswala ya kutafuta taarif field, kwa waliotangulia etc ni moja ya feature za biz plan.
Pre assessment kwanza na sio ujitumbukize humo then uanze kulaumu watu labda kama hela sio yako, ila hela hizi za mikopo au za kukusanya muda mrefu kwa jasho na damu unatakiwa uende kwa umakini mno mno.
2Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi kama kijana nimeamua rasmi kujikita kwenye kufanya Biashara maana ndiyo ndoto yangu ya siku nyingi sana.
Binafsi nimepambana hapa na pale nimebahatika kupata mtaji wa Tsh Milioni 10 hivyo nmeamua kujikita rasmi kwenye Biashara na kwa kufikiria nimepata mawazo ya Biashara 4 ambazo binafsi ninazipenda na kuzimudu..
1. BIASHARA YA KUUZA VYOMBO VYA MAJUMBANI
-Hapa nitahusisha uuzaji wa vyombo mbalimbali ambavyo vinatumika kwenye majukumu ya kila siku majumbani kama (Masufuria, Hotpots, Vijiko, Visu, Madeli, Ndoo za maji, Mabeseni, Chupa za Chai, Viti & Meza za plastic, Majaba etc)
2. BIASHARA YA NGUO NA PRODUCTS MBALIMBALI ZA WATOTO(0-3YEARS)
-Hapa itahusisha kuuza products mbalimbali za watoto wachanga hadi miaka mitatu(3) kama vile (Nguo, Nepi, Viatu, Kofia, Neti, Beseni za kuogea, Toys km Vigari & Midoli, Poda & Sabuni za watoto etc)
3. BIASHARA YA BIDHAA MBALIMBALI ZA UREMBO NA VIPODOZI VYA WANAWAKE
-Hapa nitahusisha bidhaa kama(Perfumes, Rasta, Lotions, Poda, Hereni, Lipstics, Cheni, Nguo za ndani,Madela etc)
4. BIASHARA YA VIFAA MBALIMBALI VYA UJENZI WA NYUMBA NA VIFAA VYA ELECTRONICS
Wakuu naombeni USHAURI kwa uzoefu wenu ni Biashara ipi hapo yenye return kubwa na bidhaa zake ni more Liquid (Rahisi kuuzika kwa haraka) na ni sehemu gani naweza kupata hzo bidhaa kwa urahisi na Bei nafuu kwa DAR ES SALAAM na changamoto pia za hyo biashara husika na kama itapendeza Location nzuri ya kufanya hyo biashara kwa DAR.
NINAWASILISHA KWENU WADAU KWA USHAURI.
FezaDaycare kwa million 10? How?
Sijakuelewa mkuu.Feza