Ndugu zangu mimi ni mkazi wa Mwanza, kijana wa elimu ya chuo kikuu ktk masomo ya biashara. Kwa sasa nakaa tu sina ajira ila nina mtaji wa sh milioni 2.
Nimewaza nianze kufanyia nini nimeshndwa. Wazo pekee linalo nijia ni kununua BODABODA ila watu wengi wananishauri nisinunue mana haina faida na usimamizi ni mgumu. Embu wadau nipeni ushauri ktk hili na mawazo mengne tofauti na ya bodaboda. Asanteni waungwana