Nina mtaji wa Tsh. 2,000,000 nataka kufungua biashara ya nywele bandia

kichwakili

Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
27
Reaction score
23
Habari ndugu zangu nina mtaji wa milion mbili nataka kufungua biashara ya nywele bandia nikimaanisha wiving, rasta, mawigi na vitu vidogo vidogo vya urembo wa akina dada kama mikufu, hereni, bangili nk.

Naomba mwenye uzoefu na hii biashara anisaidie kunifahamisha changamoto na faida ya hii biashara na mzigo naweza kuchukulia wapi kwa bei ya jumla, na je kwa huu mtaji wangu unatosha.
 
Rasta, weaving na wigs utazipata msimbazi A pale mkabala na bigbon uingie maduka ya ndani mpk utokee nyuma kwenye road ya kuelekea jangwani utakuta maduka mengi ya jumla.
 
Hapo utapata vitu vichache Sana ukitaka ubalance labda uanze na pc 10, 10 au chini ya hapo kwa items zinazopendwa Ila inatosha kuanza ukihitaji kuanza niambie au lete namba
 
Uko wapi kwanza Mkuu
 

Mkuu kichwakili , ulifanikiwa kuanza hii biashara ya nywele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…