ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Me nawaza tofauti na wengi
Nondo ametekwa Kwa sababu Gani?
Nondo sio hatari Kwa watekaji
1 ACT na CCM wana urafiki ambao haulezeki, ni kama CCM alimzaa ACT
Mwanzo wa tukio
Kwa hadhi ya Nondo kusafiri na Saratoga kutoka Kigoma hadi Dar.
Yaani M/kiti wa Vijana ACT amekosea laki 3 ya kupanda ndege hadi Dar kufanya shughuli zake.
2 Ametekwa Stand ya Magufuli eti watekaji wakaacha pingu.
Hivi askari aliyefunzwa aache Pingu stend?
Nondo ana ugumu Gani Kwa watekaji
3 Gari lilimteka kukutwa Gogoni police baada ya dakika chache za Nondo kutekwa.
Yaani police wamteke watu washuhudie gari na hilo gari lipelekwe kituoni kama ushahidi kuthibitisha kuwa waliomteka ni police
4 Kuokotwa coco beach na wasamalia
Yaani watekaji walimchukua Nondo wakampeleka Coco beach 😂 sehemu ina watu wengi wakamtesa hadi saa 5, halafu wasamalia ndo wakamwokota.
Mapori yote haya Tanzania umteke mtu umpelekee CoCo beach
5 Wasamalia kumpeleka Majeruhi Nondo kwenye ofsi za Chama Kwa Bajaj😂
Japo majeruhi aliyopata sijayaona lakini hili linanipa mashaka
Yaani mtu aliyeokotwa akiwa hoi unapeleka ofsini apate huduma Gani?
Kwanini hawakumpeleka hospital?
Mtu wa kawaida atamwokota Nondo atambue kuwa ni wa ACT?
Kwanini hawakwenda police kuchukua pf3? Na hospital watampokeaje majeruhi asiye na pf3
Me nadhani Kuna mawili
1. Kututoa kwenye agenda ya kujadili hujuma za uchaguzi uliosababisha mauaji ya watu kadhaa na wizi wa wazi wa kura
2 kuonyesha kuwa wanaoteka na kuuliwa si Chadema tu na vyama vingine wanatekwa ipo siku tutasikia eti na kiongozi wa CCM nae katekwa katelekwezwa pale kitambaa cheupe😆
Japo tujipe muda mtazamo wangu unaweza kuwa tofauti na uhalisia