Nina mtazamo tofauti kwenye tukio la kutekwa Kwa Abdul Nondo

Haya mambo ya kutekana tekana hayafai. Serikali ilitazame hili. Waziri mkuu na wenzake walitazame. Tupo uchumi wa kati chini.
 
Umewaza nje ya box 👏👏👏
 
kaka wa bosi wa CCM mkoa wa KILIMANJARO acharangwa mapanga mpaka kafa kikatili!!,je? nayo ni gemu?
 
Sio siri tena mwannagu unaliwa nyara zako. Uchawa umeota mizizi nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…