Nina mtoto naye wa miezi 9 na ninampenda, ila anamwanamke mwingine na mtoto wa miezi 11, nifanyaje?

ai kashasema hawezi kumuacha sasa sie tumshauri nini jamani dear!! asubirie tu labda cheusi kinaweza badilika kikawa chekundu.

hapo chacha!! halafu anaongezea kabisa kuwa jamaa ni muhuni na hampendi kama yule mwingine

au anataka tumsaidie maombi na dua jamaa ampende
 
hapo chacha!! halafu anaongezea kabisa kuwa jamaa ni muhuni na hampendi kama yule mwingine

au anataka tumsaidie maombi na dua jamaa ampende

ahahaha ndo mana nikasema labda anataka cheusi kiwe chekundu jambo ambalo haliwezekani
 

Kuna ushauri zaidi hapo?
 
Ujue watu wengne kufa wanajitakia wnyw unaona kabsa hiii njiaaa unayopita n ya kifo af unaendeleaaaatu nayo wakat unaiona nyingne ile pale unaweza pita na ukaenda nayo na ukafka salama
 
Hiyo ni kawaida kwa akili za wanawake,ni hakika na kwel kuwa wanawake wanapenda mwanaume mhuni mhuni asiyeeleweka...kwa hiyo muambie aishi hivyo hivyo..
 
Ni ngumu kumesa ila lazima akubali, japo chungu.

Mkaka haba mapenzi nae, aangalie jinsi ya kuendesha maisha na mwanae.
Pole yake na mabinti wengine wajifunze, Ukiwa kwenye uhusiano na mwanaume lolote laweza kutokea.
 
Mmmh kaz sn kupenda usipopendwa..!! uhh atakonda atapata vidonda vya tumbo, presha imsumbue mwsho wa ucku ajifie tu.. a move on wth her lyf!!
 
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…