Nina mwaka 3 sijajiona kwenye kioo na sijui nikoje kwa sasa

Nilihamua iwe hivo lengo langu ifike miaka5.
Ikiisha nataka kujaribu kukaa mwaka1 bila kuoga.
NB:hata sisi weusi tunaweza kuvunja record.
Mkuu,umejisahau hadi weye kwamba ni nani?NAKUKUMBUSHA.Weye ni rais mstaafu wa USA.
 
hahaaa Beira boi umekuja na I'd mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…