Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
sijui huyu ni jua au ni juhaaKweli amehamuha, yaani hajikumbuki hata hanafananaje sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijui huyu ni jua au ni juhaaKweli amehamuha, yaani hajikumbuki hata hanafananaje sasa
Ni uamuzi wako.Nilihamua iwe hivo lengo langu ifike miaka5.
Ikiisha nataka kujaribu kukaa mwaka1 bila kuoga.
NB:hata sisi weusi tunaweza kuvunja record.
Mkuu,umejisahau hadi weye kwamba ni nani?NAKUKUMBUSHA.Weye ni rais mstaafu wa USA.Nilihamua iwe hivo lengo langu ifike miaka5.
Ikiisha nataka kujaribu kukaa mwaka1 bila kuoga.
NB:hata sisi weusi tunaweza kuvunja record.
Inamaana hata kwenye maji hujioni?Kazi yangu uvuvi kioo cha nini..