TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Je Wajua?
KISANGATI - Ni mtu mwenye tabia ya kutopenda kutumia na kutoa kilicho Chake Kwa wengine (Kwa mujibu wa BAKITA)
Wakuu ni mwaka mmoja na zaidi Sasa sijafanya Uzinzi/Uasherati na bado Niko poa kabisa!
Kitu ambacho namshukuru Mungu kunipatia ni kutokuwa na tabia ya kupenda wanawake ovyo!,huwa napenda mwanamke mmoja tu Kwa muda mrefu na tukizinguana huwa najipa muda mrefu wa kutokuwa na mwanamke!
Huwa namshangaa sana mwanaume kusema eti hawezi kukaa mwezi bila kulamba mbunye!,kupenda mbunye sana nako yawezekana ikawa tatizo la kiakili!
Kiukweli tangu nimejiweka kando na wanawake Kwa kipindi chote hicho najiona mwenye mafanikio makubwa na bahati tele!,Sina stress Wala siwazi chochote isipokuwa kuipa nafasi yangu afya!
Starehe yangu ni kuzunguka sehemu tofauti tofauti na ku-experince vitu vipya!
KARIBUNI LUSHOTO wakuu tu-enjoy hewa safi ya Mungu!