Nina mwezi sasa dushelele halina hamu ya kusimama

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Wakuu kama topic inavyojieleza

Siku za hivi karibuni nimekua mtu mwenye msongo sana wa mawazo, nimeugua UTI kali, sana na nilienda kwa mke wangu lakini kutoa unyumba akawa anagoma. Siku hizi hata nikiamka asubuhi mashine wala haisimami na sina mzuka wala hisia na mwanamke.

Je hii inaweza kusababishwa na matatizo nliyotaja hapo juu au kuna mengine?
Ndani ya mwezi wa 10 nimesex Mara 2 tu tena goli moja moja, nilikua natamani kuendelea kupiga goli zingine ila ndo hivyo mke anaishia kusema kachoka basi nalala na ugwadu wangu.

Tatizo lingine lililoanza miezi kadhaa nyuma ni kuchelewa kukojoa nampiga mashine muda mrefu sana lakini kukojoa ni mtihani. Je kuchelewa kukojoa ni dalili ya ugonjwa flani au ni nini hasa. Inshort jamani mwenzenu nina mabadiliko sana katika suala zima la hisia za mapenzi.

Msaada namna ya kurudi hali ya kawaida.
 
Vipimo vya hospital ni muhimu kugundua chanzo kisha kutatua hilo tatzo itakua rahis zaid
 
WEWE UNA MSONGO WA MAWAZO HUNA TATIZO LOLOTE
 
Nenda Hospitali ukapime Maradhi ya UTI na ukatibiwe usipo pona nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia ili upate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Lifunge POP[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Tayari umeshapata gonjwa la upungufu wa nguvu za kiume,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…