Nina mwezi sasa dushelele halina hamu ya kusimama

Nina mwezi sasa dushelele halina hamu ya kusimama

Wakuu kama topic inavyojieleza

Siku za hivi karibuni nimekua mtu mwenye msongo sana wa mawazo, nimeugua UTI kali, sana na nilienda kwa mke wangu lakini kutoa unyumba akawa anagoma. Siku hizi hata nikiamka asubuhi mashine wala haisimami na sina mzuka wala hisia na mwanamke.

Je hii inaweza kusababishwa na matatizo nliyotaja hapo juu au kuna mengine?
Ndani ya mwezi wa 10 nimesex Mara 2 tu tena goli moja moja, nilikua natamani kuendelea kupiga goli zingine ila ndo hivyo mke anaishia kusema kachoka basi nalala na ugwadu wangu.

Tatizo lingine lililoanza miezi kadhaa nyuma ni kuchelewa kukojoa nampiga mashine muda mrefu sana lakini kukojoa ni mtihani. Je kuchelewa kukojoa ni dalili ya ugonjwa flani au ni nini hasa. Inshort jamani mwenzenu nina mabadiliko sana katika suala zima la hisia za mapenzi.

Msaada namna ya kurudi hali ya kawaida.
Una miaka mingap, dah, we ndo bas tena, version mpya ya totoz utakua unazisikia tu.

Pole sana my friend
 
Back
Top Bottom