Nina mzigo wa kutosha wa maembe, nauza kwa jumla

Nina mzigo wa kutosha wa maembe, nauza kwa jumla

Alien_girl300

New Member
Joined
Jan 18, 2023
Posts
2
Reaction score
7
Nina mzigo wa kutosha wa maembe nauza jumla. Nina aina ya maembe ya dodo, bolibo na maembe ya apple.

20230117_175032.jpg
 
Jamaa muongo, kwa vyovyote buguruni Hilo embe haliwez kuuzwa 400
 
Tatizo lako ni mtazamo wako, uko very negative. Badilika aisee, kimtokacho mtu ndicho kilicho ujaa moyo wake.
Mimi nimeomba Mungu amsaidie mleta mada ili mzigo wake utoke kwa haraka, wewe unaona namchawia.

HUO MZIGO UKIHARIBIKA NITAPATA FAIDA GANI?

Basi kaka mimi nilikuwa nakutani tu naona unapanic usije lia bure
 
Maembe ya Apple!

Yale yale ya Tabata ya Segerea!

jamii very very illiterate!
 
Back
Top Bottom