Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mimi nataka mawili nipo hapa palestina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YAani weweKisalawe.....
Tumuombe Mungu akusaidie upate mteja kwa haraka
Nina mzigo wa kutosha wa maembe nauza jumla. Nina aina ya maembe ya dodo, bolibo na maembe ya apple.
View attachment 2485607
Kinumbo 🤔🤔🤔🤔Watanganyika ata kujieleza ni mtihani kweli kweli.
Jieleze kwa kina, uko wapi, unauza kwa bei gani ikibidi weka namba yako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]falaa sanaa...!!Mimi nataka mawili nipo hapa palestina
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]falaa sanaa...!!