Nina na Sinta wako wapi?

kipindi flani nilikutana naye akitembea kwa miguu toka Kilungule hadi Kimara Korogwe.
 
Mara ya mwisho kumuona ilikuwa ni kwenye msiba wa kanumba, alikuwa anasukuma prado nyeupe na inaonekana maisha yake siku izi mazuri, ivi sasa sijui yuko wapi na anafanya nini. ni kati ya waigizaji waliozua gumzo kaole miaka hiyo, pia alishawahi kushiriki kwenye movie ya Girlfriend.
 
Nina yupo kaolewa na wako vizuri kipesa na mumewe za

chini ya kapeti zinasema wanauza sembe
 
nilisikia kaolewa na mwenye pesa
"haya suala hili lako kubwa usimsingizie ninaaaa"
endelea kuponda mali mtoto mungu yupo atakusaidia
 
nilisikia kaolewa na mwenye pesa
"haya suala hili lako kubwa usimsingizie ninaaaa"
endelea kuponda mali mtoto mungu yupo atakusaidia

Mambo ya sembe hayo shoga angu...mume nasikia ana wivu hatariiii hataki kusikia bongo movie wala nini...
Ila Nina mzuri jamani yale macho yake..
 
mambo ya sembe hayo shoga angu...mume nasikia ana wivu hatariiii hataki kusikia bongo movie wala nini...
Ila nina mzuri jamani yale macho yake..

mzuri yale macho tu mi hoii
 
Mume wake anaitwa fereji nafikiri ni diwani sehemu za magomeni mwembechai ila muuza sembe maarufu mume wake na hela anazo nina anaghorofa hapo magomeni mwembechai na kweki anaendesha hilo prado jeupe ni lake....
 
Mweee nina mtamuuuu ...basi tu mi sina hela ya kumpa prado nyeusi
 
Reactions: amu
Mweee nina mtamuuuu ...basi tu mi sina hela ya kumpa prado nyeusi

Kaharibika siku hizi uzuri wote kwisha kabakia macho...
Kanenepeana kishenzy...
Kweli unene mbaya ngoja nijicontol maana napoelekea sipo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…