Nina na Sinta wako wapi?

Nina na Sinta wako wapi?

haya mamy kama sifa hizo unazojitose 😉

Vigezo ni rahisi; urefu sentimeta 174 (5’9”), kiuno kisichozidi sentimeta 64 (25”), mapaja yasiyozidi sentimeta 92 (36”) na umri kati ya miaka 18 na 27

huyu wa kwetu bwana mhh...au napata makengeza.
 
Hawa kina dada siku hizi wako wapi

Sinta alitikisa vyombo vya habari kupitia magazeti kila kukicha sinta , sinta

i1470_sintagp.jpg

Nina alikuwa anaigiza katika kikundi cha kaole lakini sasa hajulikani yuko wapi na wala hasikiki kabisa

Mnaweza kunipa update za hawa ladies wako wapi kwa sasa na wanafanya nini

Nimeamini jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza. Sinta mbona alisoma mpaka chuo kikuu kimoja Uganda na kupata shahada na baada ya hapo akaolewa na Mganda wanaeishi naye Uganda?

Sasa baadhi yetu wanasema KACHOKA sasa kwakweli sijui kuchoka nini maana yake. Nijuavyo na nilipomuona mara ya mwisho alikua fresh na mtoto wao mmoja wa kiume.

Jamani tupunguze UMBEAAA la sivyo tutakua kama mademu (sorry ladies) kwa kuzungumzia usiyoyajua.
 
ni kweli bro,sio kila msanii asipoonekana tena basi kafulia,nina naye nilikua namuona mwananyamala mika ya nyuma anasukuma honda RVR nyeupe,sijui siku hizi yuko wp.
 
Nimeamini jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza. Sinta mbona alisoma mpaka chuo kikuu kimoja Uganda na kupata shahada na baada ya hapo akaolewa na Mganda wanaeishi naye Uganda?

Sasa baadhi yetu wanasema KACHOKA sasa kwakweli sijui kuchoka nini maana yake. Nijuavyo na nilipomuona mara ya mwisho alikua fresh na mtoto wao mmoja wa kiume.

Jamani tupunguze UMBEAAA la sivyo tutakua kama mademu (sorry ladies) kwa kuzungumzia usiyoyajua.

FP hapo nilikuwa nauliza tu asante sana kwa habari
 
Sinta nipo naye hapa home morroco ni mama wa watoto wawili.
 
hako mie jina nakumbuka ila sura haiji kabisa ..
pia kuna dada mmoja alikuwa anaitwa Joyce aliecheza kaole zamani sana wakati ndo inaanza ..mmewe Bishanga aligonganisha wanawake ..toka hapo sijamsikia tena kweli watu wanapotea
first lady this poor girl she died alikua anasoma uganda aliacha kuigiza akawa n anasoma na kufanya kazi hapa bongo then kaenda kusoma uganda KIU alipomaliza tu just 2mths akafariki.kama angekua hai angekua mbalai maana alikua ana akili ya maisha na yeye acting ilikua hoby tu lakini alikua very close to the church.
 
Sinta alikwenda kusoma nchini Uganda ambako alifanikiwa kupata mchumba Mganda ambaye bila ajizi walifunga pingu za maisha miaka miwili iliyopita.
alizalishwa na mganda moja then akawa happati ile sabuni ya roho akaja bongo choka mbaya akapata kazi somewhere pugu rd ile kampuni ya .....akakwapua 12000$akasepa uganda tena lakini mambo yake si mazuri though anasema kwa watu anafanya kazi umoja wa mataifa ethiopia.nadhani anapiga danadana tu maana hana muelekeo.kunguru hafugiki bana,ukimfuga we mchawi
 
alizalishwa huko na mganda choka mbaya but akaja hapa akawarudia wadau wake nani amatke mtu keshazalishwa basi akaona hana deala akakwapua vijisenta akarudi tena huko ingawa mwenyewe anasema yuko ethiopia
vipi chipeta umempata?..............atuambie sinta yupo wap

kuna wakati huwa nawahurumia sana wanawake!.....HUWA WANAVUMA NA KUPOTEA(baada ya kutumika saana na kuzalishwa na kuachiwa minyenyere)...!wakina aisha madinda NDO HIVYO TENA...lolz!
 
lakini alitendwa mkoani huko kama mnakumbuka ile story alienda kuvuruga ndoa ya mtu wamelala mke wa jamaa karudi ghafla mpaka alinyolewa nywele
 
alizalishwa na mganda moja then akawa happati ile sabuni ya roho akaja bongo choka mbaya akapata kazi somewhere pugu rd ile kampuni ya .....akakwapua 12000$akasepa uganda tena lakini mambo yake si mazuri though anasema kwa watu anafanya kazi umoja wa mataifa ethiopia.nadhani anapiga danadana tu maana hana muelekeo.kunguru hafugiki bana,ukimfuga we mchawi

Duh naona sista sista una full info asante
 
first lady this poor girl she died alikua anasoma uganda aliacha kuigiza akawa n anasoma na kufanya kazi hapa bongo then kaenda kusoma uganda KIU alipomaliza tu just 2mths akafariki.kama angekua hai angekua mbalai maana alikua ana akili ya maisha na yeye acting ilikua hoby tu lakini alikua very close to the church.

oooh Jamani hii habari si njema lakini ndo mapito ya kila mmoja wetu ..Mungu aiweke roho yake pema peponi Amen.
 
Huyu mnaesema kafa ni Sinta ama Nina?

Nijuavyo mimi Sinta hajafa na kama sikosei atakuwa bado yuko Nairobi kwa issue zake!

Baba yake ni rafiki yangu wa karibu sana anaishi na kufanya kazi Ausha!!
 
Nimewahi kumwona Sinta pale BP Kimara Baruti mwaka jana, akiendesha saloon ya kijani mpauko hivi imechoka kidogo na amekongoroka ila nafikiri maini ya ng'ombe huwa hayazeeki! Nina kwa kweli sifahamu.

Ila nafikiri binadamu wote tunapoongeza miaka ya kuishi tunakongoloka - angalia picha yako ya form II!!!
 
sorry wako wapi Geoff
mbona sijawaelewa na mbona wewe hukukosea au wapi ulipokosea kuandika mpaka mimi sijapaona!nimerudia lakini sipaoni wapi wapi ndo ipo wapi kwemye mada yako?
 
oooh Jamani hii habari si njema lakini ndo mapito ya kila mmoja wetu ..Mungu aiweke roho yake pema peponi Amen.

Jamani mpo serous ama nini mimi nafahamu mpaka anapoishi nyuma ya hongera bar au fungueni sintah.blogspot aheni mambo hayo...kuhusu NANA HAIJULIKANI japo kuna siku za nyuma alikuwa mambo yake njema masogange hakuona ndani.......na macho yaleee loooooo!
 
Back
Top Bottom