Nina na Sinta wako wapi?


Bonga bar imekufa .....sijui imefungwa....?
 
Sinta alikwenda kusoma nchini Uganda ambako alifanikiwa kupata mchumba Mganda ambaye bila ajizi walifunga pingu za maisha miaka miwili iliyopita.
 
hako mie jina nakumbuka ila sura haiji kabisa ..
pia kuna dada mmoja alikuwa anaitwa Joyce aliecheza kaole zamani sana wakati ndo inaanza ..mmewe Bishanga aligonganisha wanawake ..toka hapo sijamsikia tena kweli watu wanapotea
Nana aliigizaga mchezo mmoja hv na Bambo. Alikuwa mzuri sana yule dada.
 
ndio yupo kwenye movies au bado ana act kwenye vikundi?

Alisha fulia si unajua maproduza wakisha mega wanawatupa kabisa kwenye dustbin

Chipeta??? mmh fidel na weee umo!!!!

Sasa nitakosaje kuunda urafiki na wapambe wake wa karibu huku mm mate yananitoka kama fisi!!!
 
Alisha fulia si unajua maproduza wakisha mega wanawatupa kabisa kwenye dustbin
vipi chipeta umempata?..............atuambie sinta yupo wap

kuna wakati huwa nawahurumia sana wanawake!.....HUWA WANAVUMA NA KUPOTEA(baada ya kutumika saana na kuzalishwa na kuachiwa minyenyere)...!wakina aisha madinda NDO HIVYO TENA...lolz!
 
vipi chipeta umempata?..............atuambie sinta yupo wap

kuna wakati huwa nawahurumia sana wanawake!.....HUWA WANAVUMA NA KUPOTEA(baada ya kutumika saana na kuzalishwa na kuachiwa minyenyere)...!wakina aisha madinda NDO HIVYO TENA...lolz!


tatizo wanakurupukia umaarufu, front page kwenye vijarida vya udaku bac wao ndio wao....
 
..Huyo Nina kwa kweli nilikuwa nampenda sana kwa tumacho twake tule.....tunaita kabisa
 
Yeah kapo kanaganga njaa si unajua maproduza wa Bongo wanawachakaza kwa kuwamega mega ovyo ovyo na vipato wanapewa duni wanaishia kupata sifa.

na walaaniwe hawa maproduza wanaopenda kumega watoto wa wenzao na kuwaacha solemba
 
]hahaa unakumbuka[/COLOR]????

afu nawe nimekumis ndo nini kupotea hivo???

haaa nimekumbuka dear, akachanganyikiwa kabisaa na manyuzi nyuzi yale.....dear nilikuwa safari narudi kutafuta ugali wa kila cku, ka likizo kameisha na nashukuru nimetoka huko ukweni bila bifu na bi mkubwa....sasa hivi nipo kwa sana tu dear.
 
na walaaniwe hawa maproduza wanaopenda kumega watoto wa wenzao na kuwaacha solemba


hao warembo wanajiachia tu wenyewe kwa kupenda mteremko, mtu kama nana/nora atadanganywa na lipi, wanajitakia tu....halafu wanakuwaga na nini cjui hawawezi ku date na watu wakawaida ni mpaka wapate hao wenzao wanaojiita supa staa, ndio mana hawadumu.
 
kweli katulia huyu sisiteri hasisikiki popote pale
kwisha habari yake huyo mam'ii!.........
amewapisha wengine
kuna umri fulani lediiz wanaonekana wazuri...!time yao ikipita na wao wanapita hivyo hivyo!....

mbona hujauliza britney yupo wapi?au j-lo ni vipi?...!sasa hivi watu wanadata na rihhana,jordan spark,beyonce,na wachuchu wengine

...THERE IS TIME FOR EVERYBODY..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…