Nina na Sinta wako wapi?

umenifumbua macho jamani mie loooooooooooh
sasa ndo kuna Aunt Ezekiel eeeh ...huyu binti naye kamwambie atulie bwana Geoff
 
Wamezeeka eeeeh,!!!!!!!!!!!!!! Lakini kweli kama maua vile likichanua kila mtu ataka kulichuma, likinyauka no one even notices.

hivi na Nyamayao na kibakuli jamani
 
Nimesoma hii thread yote sijaelewa kitu, huyo Sinta na Nina ni watu gani ? Mwenye picha tafadhali usije kuta Mzenj zamani alikuwa anajiita Nina!? wekeni photo zao
 
haaa nimekumbuka dear, akachanganyikiwa kabisaa na manyuzi nyuzi yale.....dear nilikuwa safari narudi kutafuta ugali wa kila cku, ka likizo kameisha na nashukuru nimetoka huko ukweni bila bifu na bi mkubwa....sasa hivi nipo kwa sana tu dear.
karibu mamiii.....
hao warembo wanajiachia tu wenyewe kwa kupenda mteremko, mtu kama nana/nora atadanganywa na lipi, wanajitakia tu....halafu wanakuwaga na nini cjui hawawezi ku date na watu wakawaida ni mpaka wapate hao wenzao wanaojiita supa staa, ndio mana hawadumu.

hili nalo neno....sidhani kuna mtuanawafunga kamba kwa lazima eti wawe nao. it is their choice kujiachia wachafuliwe na masupa staa wenzao...
 
Nimesoma hii thread yote sijaelewa kitu, huyo Sinta na Nina ni watu gani ? Mwenye picha tafadhali usije kuta Mzenj zamani alikuwa anajiita Nina!? wekeni photo zao

waigizaji michezo kwenye TV!!!

muulize Mzenji kama alishapitia kwenye fani hiyo (wenye picha watakusaidia)
 
Wamezeeka eeeeh,!!!!!!!!!!!!!! Lakini kweli kama maua vile likichanua kila mtu ataka kulichuma, likinyauka no one even notices.

hivi na Nyamayao na kibakuli jamani

huyo nae wakati ule pia alikuwa pale dsj, nilikuwa napenda alivyo black, na kuna wakati tulikuwa tunaishi nae karibu kimara, sasa cjui kapotelea wapi jamani....majina mengine jamani, lol.
 
umenifumbua macho jamani mie loooooooooooh
sasa ndo kuna Aunt Ezekiel eeeh ...huyu binti naye kamwambie atulie bwana Geoff
ANTI ezekiel ndo selebriti gani huyo?...........
 
waigizaji michezo kwenye TV!!!

muulize Mzenji kama alishapitia kwenye fani hiyo (wenye picha watakusaidia)

Mzenj hawezi fanya mambo ya kwenye TV.....nilifikiri ni wachumi, watu wa falsafa ama wananzuoni kumbe ni jamaa wa Tollywood bye bye...sihitaji tena picha zao! kumbe ni Kanumba's wa kike.....
 
Nimesoma hii thread yote sijaelewa kitu, huyo Sinta na Nina ni watu gani ? Mwenye picha tafadhali usije kuta Mzenj zamani alikuwa anajiita Nina!? wekeni photo zao

atakuwa nina huyo....ngoja Nguli aje akusaidie foto..
 
ANTI ezekiel ndo selebriti gani huyo?...........

c ndio yule pics zake ziliwekwa humu....akiwa kajiachia kiuchokozi kuwatega walafi...au nimekosea? bht msaada kwenye tuta.
 
Nimesoma hii thread yote sijaelewa kitu, huyo Sinta na Nina ni watu gani ? Mwenye picha tafadhali usije kuta Mzenj zamani alikuwa anajiita Nina!? wekeni photo zao
hehehe!
haya bwana mkubwa
 
nime2mia jina langu la ubatizo....huyo mzenji hajakuachia tu? akulishe na vzr pia sio akukabe/bane tu huko.

Babra aka........huku nimekabwa nani hiii hahahahahahah uchokozi huo....have a wonderful day!
 
c ndio yule pics zake ziliwekwa humu....akiwa kajiachia kiuchokozi kuwatega walafi...au nimekosea? bht msaada kwenye tuta.
naomba link nione picha zake
 
jamani yaani wewe babra ndio nanihii next time usifanye hivyo ..aaah mie nilikuwa sijagundua mpaka masanilo alifumbua fumbo
 
jamani yaani wewe babra ndio nanihii next time usifanye hivyo ..aaah mie nilikuwa sijagundua mpaka masanilo alifumbua fumbo

hata nikifanya nitaku pm kukujulisha kabla cjaku confuse madame......hivi anti ezekiel c ndio yule alikuwa amejiachia na pics humu? kama ndie nisaidie kumtafutia G ile link dear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…