haya mamy kama sifa hizo unazojitose 😉
Vigezo ni rahisi; urefu sentimeta 174 (59), kiuno kisichozidi sentimeta 64 (25), mapaja yasiyozidi sentimeta 92 (36) na umri kati ya miaka 18 na 27
hahah mie wa kwetu hata sitegemei kwani nilipata shoku alipochaguliwa ..huyu wa kwetu bwana mhh...au napata makengeza.
Hawa kina dada siku hizi wako wapi
Sinta alitikisa vyombo vya habari kupitia magazeti kila kukicha sinta , sinta
Nina alikuwa anaigiza katika kikundi cha kaole lakini sasa hajulikani yuko wapi na wala hasikiki kabisa
Mnaweza kunipa update za hawa ladies wako wapi kwa sasa na wanafanya nini
ni kweli bro,sio kila msanii asipoonekana tena basi kafulia,nina naye nilikua namuona mwananyamala mika ya nyuma anasukuma honda RVR nyeupe,sijui siku hizi yuko wp.Nimeamini jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza. Sinta mbona alisoma mpaka chuo kikuu kimoja Uganda na kupata shahada na baada ya hapo akaolewa na Mganda wanaeishi naye Uganda?
Sasa baadhi yetu wanasema KACHOKA sasa kwakweli sijui kuchoka nini maana yake. Nijuavyo na nilipomuona mara ya mwisho alikua fresh na mtoto wao mmoja wa kiume.
Jamani tupunguze UMBEAAA la sivyo tutakua kama mademu (sorry ladies) kwa kuzungumzia usiyoyajua.
Nimeamini jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza. Sinta mbona alisoma mpaka chuo kikuu kimoja Uganda na kupata shahada na baada ya hapo akaolewa na Mganda wanaeishi naye Uganda?
Sasa baadhi yetu wanasema KACHOKA sasa kwakweli sijui kuchoka nini maana yake. Nijuavyo na nilipomuona mara ya mwisho alikua fresh na mtoto wao mmoja wa kiume.
Jamani tupunguze UMBEAAA la sivyo tutakua kama mademu (sorry ladies) kwa kuzungumzia usiyoyajua.
Sinta nipo naye hapa home morroco ni mama wa watoto wawili.
first lady this poor girl she died alikua anasoma uganda aliacha kuigiza akawa n anasoma na kufanya kazi hapa bongo then kaenda kusoma uganda KIU alipomaliza tu just 2mths akafariki.kama angekua hai angekua mbalai maana alikua ana akili ya maisha na yeye acting ilikua hoby tu lakini alikua very close to the church.hako mie jina nakumbuka ila sura haiji kabisa ..
pia kuna dada mmoja alikuwa anaitwa Joyce aliecheza kaole zamani sana wakati ndo inaanza ..mmewe Bishanga aligonganisha wanawake ..toka hapo sijamsikia tena kweli watu wanapotea
alizalishwa na mganda moja then akawa happati ile sabuni ya roho akaja bongo choka mbaya akapata kazi somewhere pugu rd ile kampuni ya .....akakwapua 12000$akasepa uganda tena lakini mambo yake si mazuri though anasema kwa watu anafanya kazi umoja wa mataifa ethiopia.nadhani anapiga danadana tu maana hana muelekeo.kunguru hafugiki bana,ukimfuga we mchawiSinta alikwenda kusoma nchini Uganda ambako alifanikiwa kupata mchumba Mganda ambaye bila ajizi walifunga pingu za maisha miaka miwili iliyopita.
vipi chipeta umempata?..............atuambie sinta yupo wap
kuna wakati huwa nawahurumia sana wanawake!.....HUWA WANAVUMA NA KUPOTEA(baada ya kutumika saana na kuzalishwa na kuachiwa minyenyere)...!wakina aisha madinda NDO HIVYO TENA...lolz!
alizalishwa na mganda moja then akawa happati ile sabuni ya roho akaja bongo choka mbaya akapata kazi somewhere pugu rd ile kampuni ya .....akakwapua 12000$akasepa uganda tena lakini mambo yake si mazuri though anasema kwa watu anafanya kazi umoja wa mataifa ethiopia.nadhani anapiga danadana tu maana hana muelekeo.kunguru hafugiki bana,ukimfuga we mchawi
first lady this poor girl she died alikua anasoma uganda aliacha kuigiza akawa n anasoma na kufanya kazi hapa bongo then kaenda kusoma uganda KIU alipomaliza tu just 2mths akafariki.kama angekua hai angekua mbalai maana alikua ana akili ya maisha na yeye acting ilikua hoby tu lakini alikua very close to the church.
Unafanya nn na mke wa mtu?
mbona sijawaelewa na mbona wewe hukukosea au wapi ulipokosea kuandika mpaka mimi sijapaona!nimerudia lakini sipaoni wapi wapi ndo ipo wapi kwemye mada yako?sorry wako wapi Geoff
oooh Jamani hii habari si njema lakini ndo mapito ya kila mmoja wetu ..Mungu aiweke roho yake pema peponi Amen.