Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Ila mkuu yale si maonesho tu, haimaanishi kwamba yale ndio mafunzo yao yote waliyonayo.Anza mazoezi ya kujipiga na matofali ya utosi na tumboni kwanza. Mixer kubeba viroba na kukimbia navyo.
Maana ndio tunaona makomando wetu wanafanya kwenye maadhimisho ya Uhuru.
Kwamba ni nyingi au?Umesema push-up ngapi?
Em ngoja kwanza,narudi😓
Weee 😳 sema kweli?Kwamba ni nyingi au?
Mbna hata mm ni mgambo tu ila napiga hizo pushups vzuri tu
Jambo la kwanza:Mazoezi ndo chakula changu nina piga push 500 kwa siku, nina mafunzo ya boxing, muyai thai, wing chun, taikondo.
Nikiona makamanda wetu pale taifa kwenye maonyesho natamani na mm pain iwe my medicine. Niwe pale 92 kj
Uanze kufanyeje tena?Weee 😳 sema kweli?
Ngoja nami nianze kesho
Kupiga pushups jeroUanze kufanyeje tena?
Anza na 10 kwanzaKupiga pushups jero
Tano naweza,sasa si nitajaa mkono mwenzio 🤔Anza na 10 kwanza
duh!Njoo ujifunze ukomandoo ua he kuzama swimming pool kizembe kijana
WTF😂duh!
Za kawaida tu,usiogopeWeee 😳 sema kweli?
Ngoja nami nianze kesho
Aisee, nimeshangaa kweliZa kawaida tu,usiogope
Kuna jambo hujamwambia lazima akaguliweHuwezi kuwa Commando kama hujapita JKT na kupata nafasi ya kwenda JWTZ
Pambana upate nafasi ya kwenda JKT huko utapata nafasi ya kujiunga na JWTZ
-Unatakiwa uwe na cheti cha kumaliza elimu ya msingi na kuendelea
-Hutakiwi kuwa na umri zaidi ya miaka 30
-mwili wako unatakiwa kuwa timamu usio na hitilafu yoyote ikiwemo maumivu ya kiungo chochote cha mwili
-Pima Afya na hakikisha huna kipengele chochote
Haya kweli maajabu. Mende anatamani kuwa Komandoo!Sawa mende mdudu😹😹😹🙌🏾
Anza kukaba watu kwanza mtaani tuone kama roba zako ni za mbao au mikwara tuu.Mazoezi ndo chakula changu nina piga push 500 kwa siku, nina mafunzo ya boxing, muyai thai, wing chun, taikondo.
Nikiona makamanda wetu pale taifa kwenye maonyesho natamani na mm pain iwe my medicine. Niwe pale 92 kj
na wengi ni mashoga..Hivi wale makomandoo wa IDF mbona hawako hivyo na tumeona show show zao nzito pale Gaza na Lebanon.