Nina ndoto za kua Commandoo ( Special force) nifanyaje nitimize ndoto zangu?

Anza mazoezi ya kujipiga na matofali ya utosi na tumboni kwanza. Mixer kubeba viroba na kukimbia navyo.

Maana ndio tunaona makomando wetu wanafanya kwenye maadhimisho ya Uhuru.
Ila mkuu yale si maonesho tu, haimaanishi kwamba yale ndio mafunzo yao yote waliyonayo.
 
Mazoezi ndo chakula changu nina piga push 500 kwa siku, nina mafunzo ya boxing, muyai thai, wing chun, taikondo.

Nikiona makamanda wetu pale taifa kwenye maonyesho natamani na mm pain iwe my medicine. Niwe pale 92 kj
Jambo la kwanza:
1.afya njema.
2. Umri unaoruhusiwa kujiunga na jeshi pamoja na vigezo vingine.

3.Elimu ya sekondari kuanzia ya ordinary.

4.Cheti cha kuzaliwa na NIDA.

Utakapochaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya kijeshi na kufaulu, waweza kupewa taratibu za kujiunga na mafunzo hayo.

Kila la kheri mkuu.
 
Huwezi kuwa Commando kama hujapita JKT na kupata nafasi ya kwenda JWTZ
Pambana upate nafasi ya kwenda JKT huko utapata nafasi ya kujiunga na JWTZ
-Unatakiwa uwe na cheti cha kumaliza elimu ya msingi na kuendelea
-Hutakiwi kuwa na umri zaidi ya miaka 30
-mwili wako unatakiwa kuwa timamu usio na hitilafu yoyote ikiwemo maumivu ya kiungo chochote cha mwili
-Pima Afya na hakikisha huna kipengele chochote
 
Kuna jambo hujamwambia lazima akaguliwe
 
Hahahah!! Ukiwa chawa wa CHURA TU kwa Tanganyika hii.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Mazoezi ndo chakula changu nina piga push 500 kwa siku, nina mafunzo ya boxing, muyai thai, wing chun, taikondo.

Nikiona makamanda wetu pale taifa kwenye maonyesho natamani na mm pain iwe my medicine. Niwe pale 92 kj
Anza kukaba watu kwanza mtaani tuone kama roba zako ni za mbao au mikwara tuu.
Ukifaulu unakuwa commando yosso, then tunakupandisha cheo unakuwa commando wa ukweli.
 
Back
Top Bottom