Nina ndoto za kua Commandoo ( Special force) nifanyaje nitimize ndoto zangu?

Nina ndoto za kua Commandoo ( Special force) nifanyaje nitimize ndoto zangu?

Anza ukomando wako kwa kupambana na umasikini uwe tajiri namba 1 kwenye mtaa wako
 
Mazoezi ndo chakula changu nina piga push 500 kwa siku, nina mafunzo ya boxing, muyai thai, wing chun, taikondo.

Nikiona makamanda wetu pale taifa kwenye maonyesho natamani na mm pain iwe my medicine. Niwe pale 92 kj
Ushachelewa. Wanachukua ukiwa bado huna uwezo wa kumiliki smati foni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom