Nina ndoto za kuishi Ulaya, kwa umri wangu wa miaka 23 nitatoboa?

Wakilimsomitz

Senior Member
Joined
Jul 1, 2023
Posts
134
Reaction score
208
Habari wakuu, naomba mnisaidie wala sihitaji masimango.

Nina ndoto za kuishi nje ya Tanzania, naona njia nzuri ya kuishi Ulaya ni kuomba udhamini wa elimu kwenye vyuo vya nje.

Nilifeli form 4, hapa nina miaka 23 sasa na ninawaza nirudi shule (QT). Je, naweza toboa kwa umri huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ