Nina ndoto za kuishi Ulaya, kwa umri wangu wa miaka 23 nitatoboa?

Nina ndoto za kuishi Ulaya, kwa umri wangu wa miaka 23 nitatoboa?

1. Kwanza tengeneza passport
2. Tafuta nauli na pesa viza
3. Kisha soma kozi ya kuhudumia wazee/frail care (online au darasani ni Bora zaidi)
4. Kisha nitafute tufanye mpango uje ULaya kubadilisha wazee pampers na pesa nzuri kuanzia $20 Kwa saa minimum
Naomba namba yako mkuu🙏
 
Habari wakuu, naomba mnisaidie wala sihitaji masimango.

Nina ndoto za kuishi nje ya Tanzania, naona njia nzuri ya kuishi Ulaya ni kuomba udhamini wa elimu kwenye vyuo vya nje.

Nilifeli form 4, hapa nina miaka 23 sasa na ninawaza nirudi shule (QT). Je, naweza toboa kwa umri huu?
hujawahi kuona wazungu wazee wakifanya kazi huku africa
 
Naomba namba tuwasilane kwa njia ya whatsapp

1699138072460.png
 
Bora upigwe ban...hiyo oyi...unadhani wote humu wadogo zako? Hapo bado hujaigusa hata ulaya kwa ramani,tayari umeanza mbwembwe🙆 nenda kaqt
Toyeye kumbe na we mkorofi eeh
 
1. Kwanza tengeneza passport
2. Tafuta nauli na pesa viza
3. Kisha soma kozi ya kuhudumia wazee/frail care (online au darasani ni Bora zaidi)
4. Kisha nitafute tufanye mpango uje ULaya kubadilisha wazee pampers na pesa nzuri kuanzia $20 Kwa saa minimum
Kaka habari za muda,ni mimi mdogo ako ile ID ya mwanzo ilisumbua saivi natumia hii naomba namba yako ya WhatsApp
 
Back
Top Bottom