Nina ndoto za kuishi Ulaya, kwa umri wangu wa miaka 23 nitatoboa?

Kawaambie oyi wazee wako.
Pumbaaaaaaaavu kabisa.
 
Oyi hutoboi ninja maana akili ya darasani hauna oyi
 
Oyi fika pale kariakoo ukatafakari kwanza.
 
Nimejiunga jf muda si mrefu so,bado sijui vzr kutumia kichwa cha habari nilitaka kuandia.
Naomba ushauri nataka nirudi shule✍🏼
kwa sasa uwezo wa kubadilisha heading ya uzi upo chini ya moderators, ni vema ukawatag na kuwaomba wakubadilishie heading vile inapaswa kuwa ili upate msaada ila ikibakia hiyo "oyi" yako hapa utaambulia michango ya kukukosoa uandishi wako na jokes tu sidhani kama kuna msaada wa maana utaupata.

All the best.
 

Sawa mkuu . Heri wewe umenielewesha ila wengine wanaona nimefanya makusudi,ila ndiy hivy binadamu tunatofautiana haswa hii ngozi nyeusi
 
Huku ulaya vilaza kama wewe ndo wanapakuliwa.
 
Nime watag moderators, naomba mnirekebishie kichwa cha habari kisomeke.
Nataka nirudi shule then niombe udhamini 🙏
 
1. Kwanza tengeneza passport
2. Tafuta nauli na pesa viza
3. Kisha soma kozi ya kuhudumia wazee/frail care (online au darasani ni Bora zaidi)
4. Kisha nitafute tufanye mpango uje ULaya kubadilisha wazee pampers na pesa nzuri kuanzia $20 Kwa saa minimum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…