Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Sio kule mnapoleta ujasiri kwnye keyboardNakutag sehemu ingine π€£π€£π€£
Kule sitakiSio kule mnapoleta ujasiri kwnye keyboard
Naomba namba yako mkuuπ1. Kwanza tengeneza passport
2. Tafuta nauli na pesa viza
3. Kisha soma kozi ya kuhudumia wazee/frail care (online au darasani ni Bora zaidi)
4. Kisha nitafute tufanye mpango uje ULaya kubadilisha wazee pampers na pesa nzuri kuanzia $20 Kwa saa minimum
KaribuNaomba namba yako mkuuπ
Naomba namba tuwasilane kwa njia ya whatsappKaribu
Njoo pmNaomba namba tuwasilane kwa njia ya whatsapp
πππNjoo pm
hujawahi kuona wazungu wazee wakifanya kazi huku africaHabari wakuu, naomba mnisaidie wala sihitaji masimango.
Nina ndoto za kuishi nje ya Tanzania, naona njia nzuri ya kuishi Ulaya ni kuomba udhamini wa elimu kwenye vyuo vya nje.
Nilifeli form 4, hapa nina miaka 23 sasa na ninawaza nirudi shule (QT). Je, naweza toboa kwa umri huu?
Naomba namba tuwasilane kwa njia ya whatsapp
Njoo pm
Toyeye kumbe na we mkorofi eehBora upigwe ban...hiyo oyi...unadhani wote humu wadogo zako? Hapo bado hujaigusa hata ulaya kwa ramani,tayari umeanza mbwembweπ nenda kaqt
ππππToyeye kumbe na we mkorofi eeh
Kaka habari za muda,ni mimi mdogo ako ile ID ya mwanzo ilisumbua saivi natumia hii naomba namba yako ya WhatsApp1. Kwanza tengeneza passport
2. Tafuta nauli na pesa viza
3. Kisha soma kozi ya kuhudumia wazee/frail care (online au darasani ni Bora zaidi)
4. Kisha nitafute tufanye mpango uje ULaya kubadilisha wazee pampers na pesa nzuri kuanzia $20 Kwa saa minimum