Nina ndoto za kushika mawili ila naogopa moja kuponyoka.

davejbokaa

Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
8
Reaction score
7
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwka wa pili napenda sana kufanya biashara ila nahofia sana kufanya vivo kwani program ninayoisoma inahitaji kuwa busy sana sasa imekuwa kikwazo kwangu kwani nahofia kupoteza moja kati ya mawili haya masomo ama biashar. Kama inavojulikana biashara hua zinachangamoto sana sasa nahofia sana kma changamoto hizo zita interfere na masomo yangu hususan kipindi cha mitihani.

Ushauri mzuri wa kimawazo tafadhali.
 
Fanya forex,hii buznez hata uwe lecture room unaioperate vzr kabisa!!!!
 
ni vizuri wakati unasoma ukawa unapanga ukimaliza utafanya nini.mfano unataka kufanya biashara, sa hivi wakati unasoma unaweza ukawa unajifunza kwa kusoma publication, kuulizia na kujionea biashara inavyoendeshwa na apo utakuwa unajua mtaji gani utahitaji utakuwa unaundaa kabisa ukuimaliza kusoma.mimi nakushauri maliza kusoma kwanza kila jambo na wakati wake.
 
Billnass kamalza chuo kikuu juzi CBE,chemical kamalza udsm juz,niki wapili anasoma phd udsm
Na kazi inaendlea,....most people fail on implementation of their ideas and fear of risk raking Dont be most people because most people dont succeede_
 
Ushauri mzuri sana nimempanga nikimaliza chuo niwe kama na million moja ambayo nitaanza nayo maisha ya ujasiriamali
 
Billnass kamalza chuo kikuu juzi CBE,chemical kamalza udsm juz,niki wapili anasoma phd udsm
Na kazi inaendlea,....most people fail on implementation of their ideas and fear of risk raking Dont be most people because most people dont succeede_
Hii nzuri tatizo mtaji mdogo kwaiyo inabidi upambane vibaya
 
Nashkuru sana kwa ushauri wako mzuuri
 
Inategemea unasoma nini na upo vizuri kiasi gani binafsi nimegraduate mwaka huu nimemaliza Bsc. in civil engineering university of dar es salaam na nilihitimu vzur sana na biashara zangu pia zinaenda vizuri sana na sometimes nilikua na safiri hadi wiki nzima sipo chuo.
Jitathmini bro
Note: sijawahi kufanya supplementary examinations!
 
Hongera sana boss ama kweli wewe ni mpambanaji mana Kwa elimu ile ya Coet na uliweza kubalance vitu viwili. .you deserve the best bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…