davejbokaa
Member
- Nov 16, 2017
- 8
- 7
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwka wa pili napenda sana kufanya biashara ila nahofia sana kufanya vivo kwani program ninayoisoma inahitaji kuwa busy sana sasa imekuwa kikwazo kwangu kwani nahofia kupoteza moja kati ya mawili haya masomo ama biashar. Kama inavojulikana biashara hua zinachangamoto sana sasa nahofia sana kma changamoto hizo zita interfere na masomo yangu hususan kipindi cha mitihani.
Ushauri mzuri wa kimawazo tafadhali.
Ushauri mzuri wa kimawazo tafadhali.