Nina nywele nyekundu mno, zinafanya nikose kujiamini

Kuwa wewe!

Namaanisha geuza changamoto kuwa fursa.
Au km hujanielewa ni kwamba fanya iwe ndio utambulisho wako wa kipekee tofauti na binadamu wengine.
USIJICHUKIE!
 
ACHANA NAZO FANYA MAMBO MENGINE.
 
1.Osha nywele zako angalau mara 1 kwa wiki na shampoo
2.Tumia mafuta ya nywele zisiwe kavu
3.Vyakula vyenye protein kwa wingi na matunda kama machungwa, limao, avocado, carrot n. k
 
Punguza mywele Kisha changanya mafuta ya nywele. Namanisha leo ukipaka hata, kesho paka aina nyingine. Uwe na mafuta aina tatu zote ziwe vimininika. Baada ya mwezi uje kunishukuru. .
 
Punguza mywele Kisha changanya mafuta ya nywele. Namanisha leo ukipaka hata, kesho paka aina nyingine. Uwe na mafuta aina tatu zote ziwe vimininika. Baada ya mwezi uje kunishukuru. .
Sitaki hayo ma vitu fake, nataka vitu natural aidha kutoka kwenye vyakula vya asili, matunda n.k
 
Jikubali afu jiamini kama ulivyo, shida sio nywele nyekundu shida ni insecurity ndo inakung'ong'a, hamna kitu kizuri kama kuwa unique afu ukaitumia for your own advantage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…