Nina pepo la kukinai wanawake nikishafanya nao mapenzi, Mwamposa anawezaje kunisaidia?

Nina pepo la kukinai wanawake nikishafanya nao mapenzi, Mwamposa anawezaje kunisaidia?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Yaani pisi hata iwe kali vipi nikiigonga mara mbili tu naiona ya kawaida sana,siitafuti tena mpaka initafute.

Huwa nashangaa kuona watu wapo kwenye mahusiano miezi kadhaa au miaka kadhaa,mnawezaje?

Nadhani hili ni pepo mnaosali kwa Mwamposa vipi hili linaweza kukemewa au ndio nitaambiwa acha uzinzi,
 
Yaani pisi hata iwe kaki vipi nikiigonga nara mbili tu naiona ya kawaida sana,siitafuti tena mpaka initafute.

Huwa nashangaa kuona watu wapo kwenye mahusiano miezi kadhaa au miaka kadhaa,mnawezaje?

Nadhani hili ni pepo mnaosaki jwa Mwamposa vipi hili linaweza kukemewa au ndio nitaambiwa acha uzinzi,
Nina situation km yako 🤦🏿‍♂️
 
Back
Top Bottom