Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Unakosaje hamu ya kugegeda?
Ila kuhusu swala la kuishi na mwanamke kwa miezi au hata miaka mingi hakujengwi kwa misingi ya ngono tu ni vitu vingi , ikiwa msingi wa kuishi na mwanamke fulani utakuwa ni ngono tu basi haiwezekani kudumu nae kwa muda mrefu, kwasababu ule wakati ambao utakuwa umetosheka kingono hautamuhitaji tena.