Nina pepo la kukinai wanawake nikishafanya nao mapenzi, Mwamposa anawezaje kunisaidia?

Yaani pisi hata iwe kali vipi nikiigonga mara mbili tu naiona ya kawaida sana,siitafuti tena mpaka initafute.

Huwa nashangaa kuona watu wapo kwenye mahusiano miezi kadhaa au miaka kadhaa,mnawezaje?

Nadhani hili ni pepo mnaosali kwa Mwamposa vipi hili linaweza kukemewa au ndio nitaambiwa acha uzinzi,
Una laana ya Magufuli
 
Oyaa[emoji23]kmbe mwamposa anatatua hzo shda

mm sjawah kugonga dem zaid ya mara moja, ni mara moja na ndo bas tena sjui inakuaje yan

Naweza kupanga kuonana kwa ajil ya show ila kwasbb zngne nagailisha
 
We umetisha noma sana natamani nitulie na demu kwa muda mrefu lakini nimeshindwa kabisa
 
Back
Top Bottom