Nina situation km yako π€¦πΏββοΈYaani pisi hata iwe kaki vipi nikiigonga nara mbili tu naiona ya kawaida sana,siitafuti tena mpaka initafute.
Huwa nashangaa kuona watu wapo kwenye mahusiano miezi kadhaa au miaka kadhaa,mnawezaje?
Nadhani hili ni pepo mnaosaki jwa Mwamposa vipi hili linaweza kukemewa au ndio nitaambiwa acha uzinzi,
Acha nyeto mkuuππππππππππMi mwenyewe nilikuwa ivo ila ukija penda kweli utatulia(najua mtashangaa kweliπ)
Huyo ni me we ni ke it's different mumMi mwenyewe nilikuwa ivo ila ukija penda kweli utatulia(najua mtashangaa kweliπ)
πππππππππππDogo janja acha nyeto inakuharibu saikolojia yako. Baadae utaomba watu wakukamue rinda kisa huna hamu na madem tena haya endelea na ujinga huo
Ni vilevile mkuu,yaanπHuyo ni me we ni ke it's different mum
πππ acha ukorofiAcha nyeto mkuuππππππππππ