my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
umeshawahi kuwa na pesa halafu ukawa hujui utumie nini? nahisi nataka nitumie lakini sioni nitumie wapi. nimewaza mpka kichwa kina uma ๐๐๐ kuwa na pesa nayo tabu kweli ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimezitunza muda mrefu sasa kuna roho inani ambia "tumia tumia" ila mimi sioni nitumie nini ๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zitunze zikusaidie badae
umeshawahi kuwa na pesa halafu ukawa hujui utumie nini? nahisi nataka nitumie lakini sioni nitumie wapi. nimewaza mpka kichwa kina uma ๐๐๐ kuwa na pesa nayo tabu kweli ๐
Katombeeumeshawahi kuwa na pesa halafu ukawa hujui utumie nini? nahisi nataka nitumie lakini sioni nitumie wapi. nimewaza mpka kichwa kina uma [emoji56][emoji56][emoji41] kuwa na pesa nayo tabu kweli [emoji38]
Una sh ngapi sema fasta fastaumeshawahi kuwa na pesa halafu ukawa hujui utumie nini? nahisi nataka nitumie lakini sioni nitumie wapi. nimewaza mpka kichwa kina uma [emoji56][emoji56][emoji41] kuwa na pesa nayo tabu kweli [emoji38]
wapi?Wekeza
KAMPE BABA YAKO YEYE ANAJUA CHA KUFANYA NAZOnimezitunza muda mrefu sasa kuna roho inani ambia "tumia tumia" ila mimi sioni nitumie nini ๐
chambia? what the ffffff is chambia?CHAMBIA
picha ya nini unataka?Picha iko wapi
ninao ila hawajui kama nina pesaKwani hunawazazi?