Nina pesa hapa Ila sijui nifanye biashara ipi

Nina pesa hapa Ila sijui nifanye biashara ipi

Zilikuwa za jana mkuu, afu zote zilitick. Mi niliweka 50k pekee. Ye angeweka 250k Leo angeamka na mzigo wa maana
Nipe za leo mkuu nna 50k apa naishia kuchza inplay tu
 
Biashara ya Chakula ndio pekee inalipa .

Tafuta mahali palipochangamka,,, Mtafute mdada mmoja au wawili. Kiasi nunua vyombo na vyakupa vya kuanzia ..kisha fanya biashara iyo.

Nguo hazilipi sazi, mtu hafi kwa kutovaa bali kutokula
 
Back
Top Bottom