hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Salaam wakuu
Naomba msaada wa kupata taarifa za mji wa Bukavu, Kongo kwa mwana JF yoyote ambae yuko huko.
Taarifa ambazo nazitaka ni kama:
1. Usafiri wa kufika huko kutokea Dar es Salaam
2. Nahitaji visa au ni passport tu?
3. Mazingira ya usalama kwa sasa yako vipi?
Nina Safari ya kwenda Bukavu mwezi ujao na kila nikiangalia usafiri wa ndege naona kama mpaka uende Kinshasa ndio urudi Bukavu.
Msaada kwenye tuta please