Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀 wanaume muwe mnajiamini bwana mi nishamfuma mmoja kapaka hiyo kitu baada ya upelelezi wa mda mrefuUrudi na puturuu mundende
Tatzo wenzangu wanapaka mimi nisipo paka ntaonekana nipo chin ya kiwango[emoji3][emoji3] wanaume muwe mnajiamini bwana mi nishamfuma mmoja kapaka hiyo kitu baada ya upelelezi wa mda mrefu
Dalili mbaya hizoo yaani mtu anatumia shida yako kuwa fursaKabla ya kutoka dar nenda ubalozi wa congo ukachukue visa amabayo ina cost 50USD for 3month kisha ndio utaanza utaratibu wa safari km ifuatavyo.
Nimechoka kuandika njoo dm kwa msaada zaidi mi bukavu ni mwenyeji na nawenyeji pia wa kutosha sana tu.
Ulikuta msela ameipaka huku ameizungushia na kamfuko kanailoni pale kwny kichwa cha Abdallah wazi,hahah.[emoji3][emoji3] wanaume muwe mnajiamini bwana mi nishamfuma mmoja kapaka hiyo kitu baada ya upelelezi wa mda mrefu
Mkuu hata hiyo bukavu siijui.
Kwa hiyo kumbe Goma ni mbali zaidi ya bukavu?
Ina maana huwa hakuna njia ya moja kwa moja ya kutoboa kigoma na kutokezea huko bukavu na goma?
Vyakula vyao haviendani na tunavyokula huku Tanzania?
Nina Safari ya kwenda Bukavu mwezi ujao na kila nikiangalia usafiri wa ndege naona kama mpaka uende Kinshasa ndio urudi Bukavu.
Msaada kwenye tuta please
ulikula koni nini ukakuta unakula unga mchungu mchungu kumbe jamaa kapaka vumbi la congo😀😀 wanaume muwe mnajiamini bwana mi nishamfuma mmoja kapaka hiyo kitu baada ya upelelezi wa mda mrefu
Vumbi la Congo![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Urudi na puturuu mundende
Sijafika huko lkn naona umeeleza vizuri sana mzee baba[emoji120]Ubalozi wa DRC upo pale Upanga opposite na Scout, kaombe Visa gharama 50$, karushwa lazima kawepo kidogo kama hauna documents toshelezi
1: Usikose Yellow Fever (Vaccination book)
2: kwa ndege Panda RwandaAir mpaka Kigali then ndege ndogo mpaka Kamembe (Ndani ya Rwanda) Huo uwanja wa Kamembe Rwanda upo karibu kabisa na Mji wa Bukavu kuliko uwanja wa ndege wenyewe
3: Ukitoka hapo Kamembe unapanda tax mpaka border (Ruzizi II) upande wa Rwanda hawana shida kwani wanakupa exit tu, upande wa Congo wanaokupa entry wanausumbufu kidogo hata kama kila kitu kipo sawa, itabidi uwatoe kidogo, Kitoka Border kwenda mjini kuna tax na pia kuna daladala
5: Maisha sio rahisi sana, kila kitu kina equivalent na Dollar,
6: hotel nzuri pia zipo kuanzia 50$
Hahahahaaaa hii inaonekana kama Kisarawe ati!!!wacongo ndo zao hizoView attachment 1593082
Hata waha ni hivyo hivyo tu kasoro mlendaKigoma (Lake Tanganyika) inapakana na Uvira na Kalemie, Unajua Congo ina province (Majimbo) So Kalemie ni jimbo la Katanga lenye miji kama Lubumbashi, kolwezi nk, Uvira na Bukavu ni jimbo la Kivu ya Kusini na Goma ni Jimbo la Kivu ya Kaskazini
so Kutokea Kigoma huwezi fika Bukavu au Goma na Pia huwezi kwenda Congo kupitia Kigoma bila Boat, otherwise upite na Gari kupitia Burundi na kisha Uvira then Bukavu
Chakula kama huku, lakini precaution lazima iwepo, Wacongo kama wachina hakuna chakula wanachoacha Nyani, Paka, Mbwa, Nyoka vyote ni vyakula