Nina safari ya kwenda Bukavu nchini Congo, naomba taarifa za Mji

Kabla ya kutoka dar nenda ubalozi wa congo ukachukue visa amabayo ina cost 50USD for 3month kisha ndio utaanza utaratibu wa safari km ifuatavyo.

Nimechoka kuandika njoo dm kwa msaada zaidi mi bukavu ni mwenyeji na nawenyeji pia wa kutosha sana tu.
Dalili mbaya hizoo yaani mtu anatumia shida yako kuwa fursa
 
[emoji3][emoji3] wanaume muwe mnajiamini bwana mi nishamfuma mmoja kapaka hiyo kitu baada ya upelelezi wa mda mrefu
Ulikuta msela ameipaka huku ameizungushia na kamfuko kanailoni pale kwny kichwa cha Abdallah wazi,hahah.
 
Mkuu hata hiyo bukavu siijui.
Kwa hiyo kumbe Goma ni mbali zaidi ya bukavu?
Ina maana huwa hakuna njia ya moja kwa moja ya kutoboa kigoma na kutokezea huko bukavu na goma?
Vyakula vyao haviendani na tunavyokula huku Tanzania?

Kigoma (Lake Tanganyika) inapakana na Uvira na Kalemie, Unajua Congo ina province (Majimbo) So Kalemie ni jimbo la Katanga lenye miji kama Lubumbashi, kolwezi nk, Uvira na Bukavu ni jimbo la Kivu ya Kusini na Goma ni Jimbo la Kivu ya Kaskazini
so Kutokea Kigoma huwezi fika Bukavu au Goma na Pia huwezi kwenda Congo kupitia Kigoma bila Boat, otherwise upite na Gari kupitia Burundi na kisha Uvira then Bukavu

Chakula kama huku, lakini precaution lazima iwepo, Wacongo kama wachina hakuna chakula wanachoacha Nyani, Paka, Mbwa, Nyoka vyote ni vyakula
 
Nina Safari ya kwenda Bukavu mwezi ujao na kila nikiangalia usafiri wa ndege naona kama mpaka uende Kinshasa ndio urudi Bukavu.

Msaada kwenye tuta please
 

Attachments

  • 45146052_1190164237815765_3037597310650417152_n.jpg
    59.5 KB · Views: 21
Kongo wana maisha maisha magumu sana ,baki tu [emoji1241]
 
😀😀 wanaume muwe mnajiamini bwana mi nishamfuma mmoja kapaka hiyo kitu baada ya upelelezi wa mda mrefu
ulikula koni nini ukakuta unakula unga mchungu mchungu kumbe jamaa kapaka vumbi la congo
 
Sijafika huko lkn naona umeeleza vizuri sana mzee baba[emoji120]
 
Hata waha ni hivyo hivyo tu kasoro mlenda

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…