Nina safari ya kwenda Bukavu nchini Congo, naomba taarifa za Mji


Njia Rahisi ya kufika Goma
1.: kwa njia ya gari kama unatokea Dar panda hadi kigali Rwanda hapa ni chaguo lako utoke Dar na kampuni ya trinity moja kwa moja hadi kigali ni laki moja, ukifika kigali utapanda costa kampuni za virunga au volcano hadi gisenyi hapa ni franga 3000 wastani wa elfu kumi ya bongo, utashuka kwenye stage pale gosenyi then utachukua tuktuk ambayo ni boda boda bongo nadhani ni franga 500RW hadi border pale ukifika utagonga pass upande wa Rwanda then utavuka hadi upande wa Congo napo utagonga pass usisahau kuweka dollar 5 au 10 kama rushwa kwenye pass pale kuna wahuni utavuka thenutakua umeingia mjini goma na boda hadi town ni franga 500 ya congo kila la kheri
 
Mm naomba kwa aliopo au kufika Kisangani ktk lile jimbo la Kaskazin kbs kule Oriental Mambasa,Kule nime sikia kdg kuna uafadhali wa fujo,naomba wenyeji mtupe mrejesho mm nataka kuingia huko kwa issue ya madini,pia nime sikia madini yapo pia km ktk jimbo la Katanga, naomba mwenye ufaham wa huko atujuze uhalisia wa maisha mpaka kufika njia nyepesi,asante 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…