Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
SawaMashuleni na vyuoni unataka ale hasara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaMashuleni na vyuoni unataka ale hasara
SAMAKI SATO wanapatikana,niambie nikufikishie mahali popote,biashara ni cash mkononi.
Ninafanya biashara ya kuuza samaki aina ya sato. Size ya samaki wanaopatikana kwa wingi kwa sasa ni wale wanaovuliwa katika nyavu ya nchi 4 mpaka nchi 4.5.
Kama kuna mdau anafanya hii biashara ya samaki mahali popote na angependa kupata mzigo kutoka kwangu namkaribisha sana.
Nina uwezo wa kukuanzia samaki wengi kulingana na mahitaji yako, hata kama utahitaji piece 1000.
Mauziano ni keshi mkononi, maana yake unahesabu mzigo wako kulingana na makubaliano then unakabidhi hela mkononi. Hiyo ndiyo heshima na nidhamu ya fedha ili tuepuke kurogana na kuuana kabisa.