Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
Mimi ntakubadilishia ila kwa kila elfu 50 ntakata elfu 2hbr wana jf, kitokana na shughuli nazofanya inanilazimu kupata pesa kama hzo, msaada mwenye kujua wapi naweza badilisha.
Ungesema uko wapi, ingekuwa rahisi sana kukupa ushauri, kwani kuna sehemu unaweza kuziuza tena!!!hbr wana jf, kitokana na shughuli nazofanya inanilazimu kupata pesa kama hzo, msaada mwenye kujua wapi naweza badilisha.
tena ni biashara nzuri tu kwa makonda wa daladala na wale wa bajaj ...hao watu huzinunua hizo chenjiUngesema uko wapi, ingekuwa rahisi sana kukupa ushauri, kwani kuna sehemu unaweza kuziuza tena!!!
hakuna shida mkuuu, mimi nipo songea 0623 306 403Mimi ntakubadilishia ila kwa kila elfu 50 ntakata elfu 2
npo songeaUngesema uko wapi, ingekuwa rahisi sana kukupa ushauri, kwani kuna sehemu unaweza kuziuza tena!!!
Habari wana jf,
kutokana na shughuli nazofanya inanilazimu kupata pesa kama hzo, msaada mwenye kujua wapi naweza badilisha. NIPO SONGEA ,0623 306 403
[/QUOTE
Fungua akaunti yako benki .
Uwe na utaratibu wa kuweka pesa benki.
Kama unahitaji kubadilisha tu kiusalama nenda benki.
Mtaani utakutana na
1) Majizi yakupore pesa zote.
2) Matapeli yakuchomekee noti bandia .
NARUDIA,NENDA BENKI KAZI AFIKISHE .
Peleka benki hizo hela, benk wanachukua 10%
Ina maana kwenye milion wanakata laki ? [emoji1]asante mkuu, kila wiki hua napata kias flan cha coin, niliwah enda nmb wao wanakata 10%
Una choo cha kulipia nn??Habari wana jf,
kutokana na shughuli nazofanya inanilazimu kupata pesa kama hzo, msaada mwenye kujua wapi naweza badilisha. NIPO SONGEA ,0623 306 403
Pelekea watu wa daladalaasante mkuu, kila wiki hua napata kias flan cha coin, niliwah enda nmb wao wanakata 10%