LG Smart 43"Nitaiuza! Nahamia kwenye nyumba yangu. Nataka niweke vitu vyenye ubora, sihofii kupandishiwa bei ya pango hata kama nikiweka vitu vyenye ubora!
Aisee!LG inch 55.
na king'amuzi cha DSTV
weka FULL AC zile za Boss
hakikisha madirisha ni ya vioo na kuwe na mlinzi full time
"uhofii kupandishiwa kodi ya pango hata ukiweka vitu vyenye ubora".Nitaiuza! Nahamia kwenye nyumba yangu. Nataka niweke vitu vyenye ubora, sihofii kupandishiwa bei ya pango hata kama nikiweka vitu vyenye ubora!
afu mkuu mimi naona TV nyingi tunauziwa ni FHD hizi 4k wanaandika kwenye maboksi tu kuipamba[emoji2][emoji2][emoji2] unless zile za OLED TVs zile kweli zina 4k hadi 8kUSINUNUE TV YA 4K. WASTAGE. ISHIA FHD UNLESS UNA PS4 PRO AU 5 NA UNACHEKI MOVIE ZA 4K ILA KM NI KING'AMUZI ONLY 1080P
Mkuu nashukuru kwa ushauri. Huwa napenda kununua vitu vyenye ubora. Nitaongezea kidogo bajeti yangu ili nichukue kati ya Sony au LG. Naona LG pia watu wengi wameshauri. Vitu vya Sony pia nina uzoefu navyo. Niliwahi kununua radio flani ya cd plate tatu kitambo sana mziki wake ni mzuri kuliko wa subwoofer. Hizi brand za kichina huwa siziaamini sana!Mkuu kwa sebule yako tv isipungue inchi 43" so inatakiwa inchi 43 na kuendelea mana sebule ya 6x4m ni kubwa iisee.
Kuhusu Brand nzuri yenye picha very quality na isiyopungua with time nunua
1.Sony
2. Samsung
3.LG
kwa hizi brand za kawaida nunua TCL kidogo ukashindwa kabisa nunua HISENCE inajitahidi sio mbaya.
Ultra HD, 4k TV picture quality zina ubora wa hali ya juu sanaa.
ila kwa bajeti yako nadhani itabidi ununue brand za quality ya kawaida hizo tatu zipo juu kidogo mkuu ila ukinunua utaenjoy sana aisee