Nina sebule ina urefu wa 6m na upana wa 4m, je, ninunue TV (screen) ya nchi ngapi na brand gani ni nzuri?

Mshua's

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2013
Posts
804
Reaction score
553
Habari wakuu?

Nimehamia kwenye nyumba ambayo ina sebule yenye vipimo kama nilivyoainisha hapo juu (Ur 6m kwa Up 4m). Naomba ushauri ninunue flat screen ya nchi ngapi na brand gani ina quality nzuri za picha na inadumu kwa muda mrefu bila kuleta matatizo?

Natanguliza shukran za dhati wakuu!
 
afu ukiwa unanua TV mkuu make sure quality ya picha inakua sawa kila pande unayokaa kuitazama. maana kuna TV siku izi zina vioo fake ukikaa pembeni unaona watu kama wanafifia au kama zile negative kwenye camera za kizamani[emoji2][emoji2][emoji2] au mara watu kama watu wameungua[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] daah
Hizi mkuu zitakuwa za kichina, au unakuta ni zile fake zake. Hapa inabidi niangalie mahali pa kununua pia, siyo maduka yote yanafaa.
 
USINUNUE TV YA 4K. WASTAGE. ISHIA FHD UNLESS UNA PS4 PRO AU 5 NA UNACHEKI MOVIE ZA 4K ILA KM NI KING'AMUZI ONLY 1080P
Haya ni mambo ya kiufundi Mkuu
Sasa hela huna, halafu mipango kibaooo...

Nenda katafute projector tu, uweke kwenye hiyo conference room
Kwani mkuu unashauri niandae shilingi ngapi ili nipate tv yenye viwango?
 
Habari wakuu?

Nimehamia kwenye nyumba ambayo ina sebule yenye vipimo kama nilivyoainisha hapo juu (Ur 6m kwa Up 4m). Naomba ushauri ninunue flat screen ya nchi ngapi na brand gani ina quality nzuri za picha na inadumu kwa muda mrefu bila kuleta matatizo?

Natanguliza shukran za dhati wakuu!
Shida sio TV ukubwa gani.....Shida utaipanga vip sebule yako, upande unaotaka kuweka tv una upana gani....masofa utayaweka wapi na upande gani...ukijua hayo mambo utajua tv ukubwa gani unahitaji?!
 
Sebule nitaipanga kwa malefu, yaani upande wa mita nne ndiyo itakaa TV.

afu mkuu mimi naona TV nyingi tunauziwa ni FHD hizi 4k wanaandika kwenye maboksi tu kuipamba[emoji2][emoji2][emoji2] unless zile za OLED TVs zile kweli zina 4k hadi 8k
Sasa kama kweny mabox tu ,si uweke 4k contents uone kama ni box au kwel ndo ununue [emoji2]
 
afu ukiwa unanua TV mkuu make sure quality ya picha inakua sawa kila pande unayokaa kuitazama. maana kuna TV siku izi zina vioo fake ukikaa pembeni unaona watu kama wanafifia au kama zile negative kwenye camera za kizamani[emoji2][emoji2][emoji2] au mara watu kama watu wameungua[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] daah
Ndio uzitaje ambazo ni hafifu na hizo quality. Hapa hujamsaidia kitu.
 
Back
Top Bottom