Nina sebule ina urefu wa 6m na upana wa 4m, je, ninunue TV (screen) ya nchi ngapi na brand gani ni nzuri?

Mshua's

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2013
Posts
804
Reaction score
553
Habari wakuu?

Nimehamia kwenye nyumba ambayo ina sebule yenye vipimo kama nilivyoainisha hapo juu (Ur 6m kwa Up 4m). Naomba ushauri ninunue flat screen ya nchi ngapi na brand gani ina quality nzuri za picha na inadumu kwa muda mrefu bila kuleta matatizo?

Natanguliza shukran za dhati wakuu!
 
Hizi mkuu zitakuwa za kichina, au unakuta ni zile fake zake. Hapa inabidi niangalie mahali pa kununua pia, siyo maduka yote yanafaa.
 
Shida sio TV ukubwa gani.....Shida utaipanga vip sebule yako, upande unaotaka kuweka tv una upana gani....masofa utayaweka wapi na upande gani...ukijua hayo mambo utajua tv ukubwa gani unahitaji?!
 
Sebule nitaipanga kwa malefu, yaani upande wa mita nne ndiyo itakaa TV.

afu mkuu mimi naona TV nyingi tunauziwa ni FHD hizi 4k wanaandika kwenye maboksi tu kuipamba[emoji2][emoji2][emoji2] unless zile za OLED TVs zile kweli zina 4k hadi 8k
Sasa kama kweny mabox tu ,si uweke 4k contents uone kama ni box au kwel ndo ununue [emoji2]
 
Ndio uzitaje ambazo ni hafifu na hizo quality. Hapa hujamsaidia kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…