Kwa hiyo umesoma tu tehama hujui kitu kingine unachojua kwenye Tehama?Habarini za asubuhi watu wote wa humu ndani.
Mimi ni mdogo wenu nimejitokeza mbele yenu kuomba ajira yoyote itakayoniwezesha kupatapa kipato halali.
Elimu yangu ni degree katika maswala ya TEHAMA. Nipo tayari kufanya kazi mahali popote ndani na nje ya Tanzania.
kwaiy zile seven layer za Network na HTML ,CSS na JavaScript umezi master vizurNilikuwa nondo kwenye Network mkuu japo na web napiga ila sio sana
Naona hujaja DM offer imekwishaKama we we ni full stack njoo dm kuna kazi