Gerdha
New Member
- Jul 3, 2020
- 1
- 1
Habari wanajukwaa.
Ninaomba ushauri kutoka kwa wenye uzoefu kuhusu namna bora ya kupata ajira.
Nina Shahada ya Elimu (Bachelor of Education in Geography and History) na uzoefu wa miaka miwili katika kazi ya ualimu nimekuwa nikijitolea.
Nahitaji kupata connection ya Shule zenye uhitaji, Hata hivyo, niko tayari kufanya kazi nyingine nje ya ualimu kulingana na sifa, ujuzi na uwezo wangu.
Nitashukuru kwa ushauri, uzoefu na taarifa zozote za fursa za ajira Ninahitaji kupata mtu wa kunionesha njia ya mafanikio.